-->

Friday, May 10, 2013

RAHASO IT SOLUTIONS

<!--[if !mso]> <![endif]



                                                                                                                                                               






 Ni mafundi wazoefu wa utengenezaji wa COMPUTER kama vile Desk top, Laptop, Mini laptop na kuweka programs mbali mbali katika computer yako KWA BEI NAFUU.
 
Tunauza komputa na laptop za kisasa kwa oda.


Tunapatikana KAWE MJI MPYA.
Kwa mawasiliano zaidi piga: 0713 207 808, 0717 023 787 au 0772 041 901.
Email: rahasoitsolution@yahoo.com
-->

Wednesday, May 1, 2013

SPORT IN BONGO

www.sportmsuni.blogspot.com

NAFASI ZA MASOMO AL MAKTOUM COLLEGE OF ENGINEERING AND TECHNOLOGY

Chuo cha Al-maktoum College Of Engineering and Technology (AMCET) kinatangaza nafasi za masomo ya cetificate na diploma kwa mwaka wa masomo wa 2013/14.

Chuo hicho kilichopo Mbezi beach jijini Dar es salaam kinatoa diploma na cetificate katika fani za Electrical Engineering, Electronic Engineering na Information Technology.

Fomu za kujiunga na chuo hicho chenye miaka mitatu toka kianze kutoa huduma hiyo ya elimu zinatolewa chuoni hapo, ambapo muombaji anatakiwa awe na D tatu, ama awe ametoka katika vyuo vinavyo tambulika na NACTE.

Kwa maelezo zaidi waweza wasiliana na msajili katika namba ya 0752592504.

SPORT IN BONGO

www.sportmsuni.blogspot.com

SPORT IN BONGO INAPATIKANA KATIKA LINK HII

www.sportmsuni.blogsport.com